Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео




Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Dr Ipyana- Mlima Sayuni / Milima yayeyuka/ official Video

#drIpyana #MLIMASAYUNI #milimayayeyuka For booking/prayers call +255712177580 Get connected Instagram https://www.instagram.com/tv/CaY2dmHF... LYRICS •• Unamiliki anga, jua mwezi na nyota, You Hold the firmament, sun, moon and stars Mkono Wako Umevifanya, Your Hand Has Created them, Pumzi Yako Imevifanya, Your Breathe has made them. Tumekuja mlima SAYUNI, We’ve come to Mount ZION, Kukusifu, Kukuabudu, To Praise You, to Worship You Maserafi Makerubi, The cherubim, the seraphim twaungana nao. We unite with them. Verse 2: Unatunza maagano, You Keep Your Covenants Huna mwanzo, Huna mwisho, You know no end nor beginning, Neno Lako ni Hakika, Your Word is Sure, wala Halina ukomo. It is limitless. Tumekuja mlima SAYUNI, We’ve come to Mount ZION, Kukusifu, Kukuabudu, To Praise You, to Worship You Maserafi Makerubi, The cherubim, the seraphim twaungana nao. We unite with them. Chorus: All (Milima yayeyuka mbele Zako, The mountains evaporate before You, Nani kama Wewe MUNGU wetu) Who is like You, our GOD? Bridge all: (Nani kama Wewe Bwana, Who is like You LORD? Nani kama Wewe) Who is like You? All: milima yayeyuka, Mbele Zako, Mountains evaporate before You, Nani kama Wewe MUNGU wetu) Who is like You, our GOD? magonjwa yayeyuka, mbele Zako, Sicknesses evaporate before You, Nani kama Wewe MUNGU wetu. Who is like You, our GOD? Holy Music: All: (Milima yayeyuka mbele Zako, Mountains evaporate before You, Nani kama Wewe MUNGU wetu) Who is like You, our GOD? Nani kama Wewe Bwana, Who is like You LORD? Nani kama Wewe) Who is like You? All: madeni yayeyuka mbele Zako, Debts evaporate before You, Nani kama Wewe MUNGU wetu) Who is like You, our GOD? Kansa yayeyuka mbele Zako, Cancer evaporates before You, Nani kama Wewe MUNGU wetu) Who is like You, our GOD? kisukari chayeyuka mbele Zako, Diabetes evaporates before You, Nani kama Wewe MUNGU wetu) Who is like You, our GOD? Ukimwi wayeyuka Mbele Zako, AIDs evaporates before You, Nani kama Wewe MUNGU wetu) Who is like You, our GOD? Holy music: Outro: Who is like You LORD? Nani kama Wewe) Who is like You?

Comments