Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Haleluya Nyakati Zote - Henrick Mruma ft. Paul Clement (Official Live Video) в хорошем качестве

Haleluya Nyakati Zote - Henrick Mruma ft. Paul Clement (Official Live Video) 2 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Haleluya Nyakati Zote - Henrick Mruma ft. Paul Clement (Official Live Video)

#SeedOfFaith #HaleluyaNyakatiZote #NitaimbaHaleluya #Haleluya Yako mazingira mengi sana ambayo tunayapitia kwenye maisha yetu mengine mazuri na mengine magumu. Kitu pekee ambacho tunapaswa kufanya ni kumsifu bila kuangalia mazingira ambayo tunapitia sababu Mungu wetu Anapenda sifa zetu. Haijalishi tutapitia mazingira gani kwenye maisha yetu lakini tumechagua kuimba Halleluya nyakati zote kama ishara ya kumsifu Mungu kwenye nyakati ngumu ama nzuri sababu yeye ni Mungu na Anabaki kuwa Mungu licha ya mazingira yoyote tutakayopitia. IN GOOD TIMES AND IN BAD TIMES, HALLELUYA IS THE SONG WE SHOULD ALWAYS SING TO GOD. Song writer: Henrick Mruma Music arranger: James Godfrey (Jay G Pro) Musicians: BAND OF CHRIST Back Vocals: SEED OF FAITH Sound System: Sound Solution International Sound Engineer: Balisidya Audio Capturing: Sam Mboya Mixing and Mastering: Kepha Mndeme (Smart Tunes) Video Production: SP Visuals Lights: Nyakalo Lights Stage Design: Winfred Palmena Stage Decor: Gatty Events Venue: City Harvest Church Outfits: Dar Suit and Kuya Creations Special Appreciations: Caroline Henrick Mruma, Mr. & Mrs. Albert Mruma, Mr. & Mrs. Ronald Swai, Seed of Faith, Band of Christ, Dr. Twina Suzzette, Geofrey Rutta and Gideon Mlawa.

Comments