Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Agape Gospel Band - Niseme Nini Baba (Official Music Video) в хорошем качестве

Agape Gospel Band - Niseme Nini Baba (Official Music Video) 2 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Agape Gospel Band - Niseme Nini Baba (Official Music Video)

Hallelujah !! Wimbo huu ni Wimbo wa Shukurani kwa Mungu wetu , wakati mwingine tunakosa maneno yakusema tunajiuliza " Tuseme Nini kwa wema wa MUNGU katika maisha yetu "?? Tunapofikiria habari ya wale wakoma kumi katika kitabu Cha Luka 17:11-19 neno la Mungu linasema , [11]Ikawa walipokuwa njiani kwenda Yerusalemu, alikuwa akipita katikati ya Samaria na Galilaya. [12]Na alipoingia katika kijiji kimoja, alikutana na watu kumi wenye ukoma; wakasimama mbali, [13]wakapaza sauti wakisema, Ee Yesu, Bwana mkubwa, uturehemu! [14]Alipowaona aliwaambia, Enendeni, mkajionyeshe kwa makuhani. Ikawa walipokuwa wakienda walitakasika. [15]Na mmoja wao alipoona kwamba amepona, alirudi, huku akimtukuza Mungu kwa sauti kuu; [16]akaanguka kifudifudi miguuni pake, akamshukuru; naye alikuwa Msamaria. Barikiwa sana 🙏🏾 Musicians Main keys : Innocent Nelson Aux keys : Michael Lowkeys Guitarist : Kaz Benjamin Bassist : JP kazire Drummer : Hans Lugwisha Back Ground Vocals SOPRANO : Jocelyn Bryson Neema Mlay ALTO : Jonas Moshi Hannah Joseph TENOR : Justin Pascal Guveti Lead Singer: Victor Maestro Mixing and Mastering by Baraka Ngowi Sound Engineer: MUJWAHUKI Venue: The Reality of Christ Church Video Directed by ROC Media /Baraka Adam wapili #AmefanyaMengiYesu #AgapeGospelBand #LiveMusicVideo.Channel Administered by Huru Digital Instagram:   / hurudigital  

Comments