Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео




Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Agape Gospel Band Ft Rehema Simfukwe - Amejibu Maombi (Live Music Video)

Shalom Shalom !! Baada ya simu zetu kupokelewa Mbinguni (HALLO MBINGUNI) tunakujia na wimbo huu wa ushuhuda Bwana (AMEJIBU MAOMBI ) Inawezekana bado hujaona majibu yako, nataka nikutie Moyo kwamba Shukurani Kwa Mungu haifungamanishwi na yale ambayo Bwana ameshatenda hata Kwa Yale ambayo tunaamini atatenda kwa imani. Zab 18:6 Katika taabu yangu nilimwita Mwenyezi-Mungu, nilimlilia Mungu wangu anisaidie. Aliisikia sauti yangu hekaluni mwake; kilio changu kilimfikia masikioni mwake. Credits: Venue :Reality of Christ (ROC) Video Directed by :Amijoji Company Audio Capturing :Mujwahuki Audio Mixing &Mastering :Baraka Ngowi Backline :Haddypro Company Limited Lights :Haddypro Company Limited Connect with us Via: Mobile :+255 710 087 353 Whatsapp: https://wa.me/c/255710087353 Instagram :  / agapegospelband   Tiktok:  / agapegospelband   Twitter:  / agapegospelband   Facebook:  / agapegospelband.channel   Administered by Huru Digital Instagram:   / hurudigital  

Comments