Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Tuisila Kisinda (Skills/Goal/Assist) в хорошем качестве

Tuisila Kisinda (Skills/Goal/Assist) 4 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Tuisila Kisinda (Skills/Goal/Assist)

Anaitwa TUISILA ROSSIEN KISINDA amezaliwa 20/12/1999 akiwa sahivi na miaka 21 nafasi yake ni winga anaetumia mguu wa kulia. Na ni Winga hatari mwenye kasi anaekipiga katika timu ya yanga nchini Tanzania Huku akiwa ametipia klabu mbali mbali ikiwemo maniema ya congo ambapo alikipiga kwa msimu mmoja na kuhamia katika klabu ya As Vita ya hapo hapo nchini DR congo kwa misimu miwili na kujiunga na mabigwa wa kihistoria Young Africans SC tarehe 17/8/2020. Nini maoni yako juu ya kiungo huyu wa congo anaekipiga nchini Tanzania? #Tusilakisinda #Yanga #Tkmaster #Tusila #kisinda #Tusilakisindaskills #azamtv #azam #chama #miquisson #bwalya #mputu #mukoko #lwanga #mkude

Comments