Из-за периодической блокировки нашего сайта РКН сервисами, просим воспользоваться резервным адресом:
Загрузить через dTub.ru Загрузить через ClipSaver.ruУ нас вы можете посмотреть бесплатно Obby Alpha - Nimewasamehe For SKIZA SMS 69312229 To 811 или скачать в максимальном доступном качестве, которое было загружено на ютуб. Для скачивания выберите вариант из формы ниже:
Роботам не доступно скачивание файлов. Если вы считаете что это ошибочное сообщение - попробуйте зайти на сайт через браузер google chrome или mozilla firefox. Если сообщение не исчезает - напишите о проблеме в обратную связь. Спасибо.
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru
Ndivyo Baba yangu wa Mbinguni atakavyowatenda ninyi,msiposamehe kwa mioyo yenu kila mtu ndugu yake, (Mathayo 18;35). Ni maombi yangu kwa Mungu aunyooshe moyo wangu,wanaponikosea wengine nisiishie kusamehe na nikabaki na machungu moyoni.Mungu akaseme na wewe pia kupitia ujumbe huu AMEN. Producer - Mixing Doctor Director - Avie Lyrics Nimewasamehe,Nimewasamehe Ila tatizo kuachilia,Mungu nifundishe kuachilia. Nimewasamehe,Nimewasamehe Ila tatizo kuachilia,Mungu nifundishe kuachilia. Hivi ni nani daktari wa ugonjwa wa moyo nimjue, Anitibu tafadhali huu mzigo mzito niutue. Maana maumivu ni makali nahitaji ukweli niongee, Kusamehe mi sijali ila kuachilia ndo nashindwa. Baba naona giza kwenye msamaha wangu ,na msamaha wako wewe haupo hivyo,Ukisamehe unafuta na kusahau. Hivyo najidunduliza kijae kibubu changu , cha msamaha japo kifike hata robo,Nikisamehe nifute na kusahau. Maana kiukweli nimesamehe ila nikikumbuka mojo unadunda TiTiTi,Nataka nisahau ili nikikumbuka hali iwe shwari. Nimewasamehe,Nimewasamehe Ila tatizo kuachilia,Mungu nifundishe kuachilia. Baba wapo wale niliowakopesha wakanidhurumu Tena wapo wale hawakujua kosa wakanihukumu Baba wapo wale niliowapenda wakanisaliti Tena wapo wale niliowapa siri wakazisambaza eeh Haya ni maombi yangu Baba yangu eeeh Nikisamehe ponya maumivu kwenye moyo wangu, Hata nikiwaona nisije kukumbuka mabaya yao. Pia ni maombi yangu Baba yangu eeh Pia wanisamehe kwa yote mabaya nilotenda, Hata wakiniona wasije kukumbuka mabaya yangu eeeh. Baba naona giza kwenye msamaha wangu ,na msamaha wako wewe haupo hivyo,Ukisamehe unafuta na kusahau. Hivyo najidunduliza kijae kibubu changu , cha msamaha japo kifike hata robo,Nikisamehe nifute na kusahau. Maana kiukweli nimesamehe ila nikikumbuka mojo unadunda TiTiTi,Nataka nisahau ili nikikumbuka hali iwe shwari. Nimewasamehe,Nimewasamehe Ila tatizo kuachilia,Mungu nifundishe kuachilia. Nimewasamehe,Nimewasamehe Ila tatizo kuachilia,Mungu nifundishe kuachilia.