Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб TIMAM - NAFSI MOJA [SKIZA 9038769 to 811] в хорошем качестве

TIMAM - NAFSI MOJA [SKIZA 9038769 to 811] 3 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



TIMAM - NAFSI MOJA [SKIZA 9038769 to 811]

#Timam #IbaadaKitaa #StreetWorship #TimamSessions He will leave the 99 just to go for the ONE. This song basically means God is looking for that one soul/Nafsi Moja. You can be that one soul today. Written & Perfomed by Timam Evans Produced, Mixed and Mastered by Gituamba Music Additional Vocals by Katoyoo LYRICS Verse 1 Hii nyimbo inaweza kosa kutrend Waseme haina Wow factor Wanadai mamresh kwa video, Wanataka maboom boom twaff. Naomba ningepata, huyo mmoja ambaye amechoka Anahisi there is more to Life, Hii hii nyimbo itamfaa. CHORUS Hiyo Nafsi moja tu, Shuka tu, Umguzee... Tizama alivyokuja, Asirudi Vileee....x2 Verse 2 Amechoka na addiction za majani,Mavela tindi kali. Kuwaleta kejani...mfungue..... Sister amechoka na Kubebwa kimandazi Kutumika na machali, Anatamani awe wifey, one day........ CHORUS Hiyo Nafsi moja tu, Shuka tu, Umguzee... Tizama alivyokuja, Asirudi Vileee....x2 BRIDGE Utawacha 99, Ufikie mmoja weh ni mchungaji.....Mchungaji Utawacha 99, Ufikie mmoja weh ni mchungaji, Mwemaa....x2 ©2021 Administered by Timam Evans.

Comments