Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб HASSAN DALALI, AFUNGUKA MBINU WALIZOTUMIA KUMUIBA MCHEZAJI WA YANGA'MIMI SIWEZI KUIBIWA MCHEZAJI' в хорошем качестве

HASSAN DALALI, AFUNGUKA MBINU WALIZOTUMIA KUMUIBA MCHEZAJI WA YANGA'MIMI SIWEZI KUIBIWA MCHEZAJI' 13 дней назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



HASSAN DALALI, AFUNGUKA MBINU WALIZOTUMIA KUMUIBA MCHEZAJI WA YANGA'MIMI SIWEZI KUIBIWA MCHEZAJI'

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania. Aliekua mwenyekiti wa simba Hassan Dalali leo Mei 15, 2024 amefanya mahojiano na Mwananchi digital na kuzungumza mengi moja wapo ni jinsi walivyo wapokonya simba mchezaji juu kwa juu na kusema kuna siku alipata taarifa ya kwamba kuna mchezaji anakwenda kuanza mazoezi Yanga na kwa wakati huo timu ya simba ilikua ikifanya mazoezi katika viwanja vya polisi. Ikamladhimu kuchukua gari na baadhi ya wenzake na kubeba mapanga na vimbo mpaka nyumbani kwa mchezaji huyo na kumchukua kwenda nae kambini ambapo simba walipokuwa

Comments